Wasiliana na watu, maeneo na tamaduni mbalimbali bila vikwazo vya lugha

Tafsiri kwa kutumia kamera yako

Lenga tu kamera yako na utafsiri papo hapo kile unachokiona

Huna Intaneti? Hakuna tatizo.

Pakua lugha ili utafsiri bila muunganisho wa intaneti

Anza mazungumzo

Zungumza na mtu ambaye anaongea lugha tofauti

Simu ya Pixel inaonyesha njia ya kuendeshea baiskeli iliyo na neno 'simama!', lililotafsiriwa kutoka lugha ya Kijapani kwenda Kiingereza likiwa na aikoni zinazotumika na maumbo yaliyochorwa Simu ya Pixel inaonyesha kipengele cha Kupakua Ukiwa Nje ya Mtandao cha Google Tafsiri kikiwa na aikoni zinazotumika na maumbo yaliyochorwa Simu ya Pixel inaonyesha kipengele cha Mazungumzo cha Google Tafsiri kikiwa na aikoni zinazotumika na maumbo yaliyochorwa

Tafsiri matamshi kwa wakati halisi

Washa kipengele cha Nukuu ili uelewe kinachosemwa

Tafsiri kutoka kwenye programu yoyote

Bila kujali programu unayotumia, nakili tu maandishi kisha gusa ili utafsiri

Chapa, tamka au andika kwa mkono

Weka data kwa kutamka au andika kwa mkono herufi na maneno ambayo hayawezi kuandikwa kwa kibodi yako

Simu ya Pixel ikionyesha kipengele cha Google Tafsiri cha Nukuu kikiwa na aikoni pamoja na maumbo yaliyochorwa Simu ya Pixel ikionyesha kipengele cha Google Tafsiri cha Gusa Ili Utafsiri kikiwa na aikoni pamoja na maumbo yaliyochorwa Simu ya Pixel ikionyesha kipengele cha Google Tafsiri cha Kuandika kwa Mkono kikiwa na aikoni pamoja na maumbo yaliyochorwa

Imehifadhiwa

Kutafsiri Hati

Kutafsiri Wavuti

Hifadhi tafsiri zako

Fikia haraka maneno na vifungu vya maneno kwenye kifaa chochote kwa kuvihifadhi

Kompyuta ya kupakata iliyochorwa ikionyesha kipengele cha Kitabu cha tafsiri cha Google Tafsiri kikiwa na aikoni zinazotumika na maumbo yaliyochorwa

Kwenye hati hiyo kuna nini?

Pakia faili zako ili uzitafsiri haraka na kwa urahisi bila kupoteza muundo wake

Kompyuta ya kupakata iliyochorwa ikionyesha kipengele cha Kutafsiri Hati cha Google Tafsiri kikiwa na aikoni zinazotumika na maumbo yaliyochorwa

Tafsiri tovuti

Unahitaji kutafsiri ukurasa mzima wa wavuti? Weka tu URL ili kutafsiri ukurasa mzima wa wavuti.

Kompyuta ya kupakata iliyochorwa ikionyesha kipengele cha Kutafsiri Tovuti cha Google Tafsiri kikiwa na aikoni zinazotumika na maumbo yaliyochorwa

Jaribu kutumia Google Tafsiri

Anza kutumia Google Tafsiri kwenye kivinjari chako. Au changanua msimbo wa QR ulio hapo chini ili upakue programu ya kutumia kwenye kifaa chako cha mkononi.

Pakua programu ili ufahamu zaidi kuhusu ulimwengu na uwasiliane na watu katika lugha mbalimbali.

Pata programu